title : TBS NA FCC WATOA ELIMU KWA WAFANYABISHARA
kiungo : TBS NA FCC WATOA ELIMU KWA WAFANYABISHARA
TBS NA FCC WATOA ELIMU KWA WAFANYABISHARA
JOSEPH MPANGALA,MTWARA
Shirika la Viwango Tanzania TBS kwa kushirikiana na Tume ya ushindani FCC Imetoa mafunzo kwa wafanyabishara mbalimbali mkoani Mtwara yenye lengo la kuwajengea Uwezo wa kutambua Bidhaa Feki ambazo zinaingia sokoni pamoja na Kuwawezesha waweze kuzingatia sheria ya Ubora wa bidhaa Wanazonunua na Kuuza.
Mafunzo HAYO yamepita Duka kwa Duka na kutembelea wajasiliamali na Wauzaji wa Bidhaa mbalimbali na hivyo kubaini kuwa Kwa kiasi kikubwa Bidhaa zinazouzwa zinakidhi Viwango vya Ubora lakni kuna baadhi ya Sehemu kumeonekana kuwa na matatizo.
Frank mndimi ni Afisa mwandamizi mawasiliano na Mahusiano ya Uma kutoka Tume ya Ushindani FCC anasema Elimu hiyo inayopelekwa kwa wananchii na wafanyabiashara inaumuhim kwa sababu inajenga uwezo mkubwa katika kukuza Biashara hasa kwa wajasiliamali.
“Wafanyabiashara wengi wametaka Elim hii Ifanyike mara kwa mara lakini pia tumebaini Bidhaa zinazouzwa kwa kiasi kikubwa kwa sasa zinakidhi Viwango na zinakidhi matarajio na Bidhaa Halisi Kuna sehem Kidogo Bado Bidhaa zinamatatizo matatizo lakini Tumewaelimisha nini cha kufanya kuangalia na kuzingatia kwamba wanaweka bidhaa ambazo ni nzuri,bidhaa zinazo kizi matwakwa ya Sheria ya miliki Bunifu “alisema Frank.
Naye Mkuu wa Maabara ya Uhandisi Ujenzi TBS Stiphen Minja amesema madhara ambayo mfanyabishara yanaweza kumtokea Pindi anapouza Bidhaa isiyokuwa Bora ni pamoja madhara ya kiuchumi pamoja na Uchafuzi wa Afya.
“Mfanyabishara anapoweka Bidhaa sokoni ambayo haikidhi matakwa ya Ubora kwanza atapata madhara ya Kiuchumi,Kiafya na kimazingira,kama Mtu atanunua Bidhaa kwenye eneo lake Supermarket yake au duka la vifaa vya ujenzi popote pale ile bidhaa atakaposhindwa kuitumia hatarudi kwenye Duka lile kwenda kununua Bidhaa kwa sababu ameshakutana na Bidhaa yake ambayo Haina Ubora”.

Mfanyabishara wa Bidhaa za Rejareja Hemen Bajaria akimweleza Afisa mwandamizi mawasiliano na Mahusiano ya Uma kutoka Tume ya Ushindani FCC Frank Mdim Juu ya Elim aliyoipta katika Kutambua Bidhaa zenye Viwango na Nembo ya TBS
Stiphen Minja Mkuu wa Maabara ya Uhandisi Ujenzi TBS akitoa elim kwa mmoja wa wafanyabiashara wa Spea za Mabari Mkoani mtwara Mbarak Mabrouk juu ya Uagizwaji wa Bidhaa Kutoka nje ya Nchi na Jinsi ya Kutambua Bidhaa hizo kama zinaubora uanaohitajika kwa Wanunuzi.
Stiphen Minja Mkuu wa Maabara ya Uhandisi Ujenzi TBS akiwa na Afisa mwandamizi mawasiliano na Mahusiano ya Uma kutoka Tume ya Ushindani FCC Frank Mndami wakitazama moja ya Kopo la Asali lililofungashwa Vizuri na mmoja wa wajasiliamali kisha kupelekwa katika moja ya Soko kubwa liliko Mkoani Mtwara.
Hivyo makala TBS NA FCC WATOA ELIMU KWA WAFANYABISHARA
yaani makala yote TBS NA FCC WATOA ELIMU KWA WAFANYABISHARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TBS NA FCC WATOA ELIMU KWA WAFANYABISHARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tbs-na-fcc-watoa-elimu-kwa.html
0 Response to "TBS NA FCC WATOA ELIMU KWA WAFANYABISHARA"
Post a Comment