AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA

AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA
kiungo : AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA

soma pia


AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA

Kampuni ya Bima ya Afya ya AAR imewafuturisha wazee wanaotunzwa katika ‘Kituo cha TUSHIKAMANE PAMOJA cha jijini Dar es Salam na kuwapa msaada wa vitanda kama sehemu ya mchango wao katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Mkuu wa Itifaki wa BAKWATA, Shekh Mohammed Nassor akiambatana na viongozi wengine wa kidini waliongoza futari hiyo, iliyofanyika jana jioni, Juni 13, 2018 katika Ofisi za Makao Makuu ya AAR yaliyoko Mikocheni jijini Dar.

Akizungumza katika hafl hiyo, Shekh Mohamed ambaye ndio alikuwa mgeni rasmi, aliwapongeza AAR kwa kuwajali watu wenye uhitaji hususan wazee ambao alisema wanahitaji uangalizi maalum na faraja. 

Aidha, aliitaka jamii kwa ujumla kushiriki katika kutatua matatizo yanayowakabili wazee, akifafanua kuwa hata Mtume Muhammad (S.W.A) alionesha mfano katika hili akieleza kuwa, “Kama kijana atamheshimu mzee wakati wa umri wake, Mwenyezi Mungu atamteulia mtu atayemheshimu na kumjali wakati wa uzee wake pia.”

“Tunapotumia mwezi huu mtukufu wa Ramadhani kutafakari afya za roho zetu, tunapaswa kuhakikisha mazingira ya upendo na kuwajali wenye mahitaji maalum na hata wapita njia. Ninawapongeza AAR kwa kujali hali za wazee ambao ni kisima cha busara ambazo kama taifa tunaweza kuzitumia kuepuka migogoro isiyo ya lazima,” alisema Shekhe Mohammed.
 Mkuu wa Itifaki wa BAKWATA, Shekh Mohammed Nassor akizungumza na Wazee wa Kikundi cha Tushikame Pamoja kilichohudhuria Futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Bima ya AAR.
  Mwenyekiti wa Kikundi cha Tushikame, Bi. Rose Mwapachu akitoa shukrani kwa Uongozi wa Kampuni ya AAR kwa kuwakaribisha Futari hiyo pamoja nakusaidia baadhi ya vitu kama Vitanda.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya AAR, Bi. Violet Modichai akikabidhi baadhi ya vifaa kwa Wazee hao wa Kikundi cha Tushikame kilichopo Kwembe.
Sehemu ya Wazee wa Tushikame Group waliohudhuria Futari iliyoandaliwa na Kampuni ya AAR kwenye Makao Makuu yaliopo Mikocheni jijini Dar es Salaam

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA

yaani makala yote AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/aar-yaandaa-futari-kwa-kikundi-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "AAR YAANDAA FUTARI KWA KIKUNDI CHA TUSHIKAME NA KUTOA MSAADA WA VITANDA"

Post a Comment