title : TBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA
kiungo : TBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA
TBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA

Meneja Masoko na udhamini wa TBL group, George Kavishe akiwa katika Uwanja wa Spartak jijini Moscow nchini Urusi pamoja na washindi wa ticket za Kombe la dunia kutoka Tanzania kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiendelea kufuatilia mechi za Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi.

Meneja Masoko na udhamini wa TBL group, George Kavishe akila selfie na baadhi ya washindi wa ticket za Kombe la dunia kutoka Tanzania kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager wakiendelea kufuatilia mechi za Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi.

Hivyo makala TBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA
yaani makala yote TBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tbl-yapeleka-washindi-wake-nchini-urusi.html
0 Response to "TBL YAPELEKA WASHINDI WAKE NCHINI URUSI KUSHUHUDIA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA"
Post a Comment