title : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI
kiungo : SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akisalimiana na Mbunge wa Liwale Mhe. Zuberi kuchauka (kulia) na Ndg. Jivunie Mbunda (aliebebwa) ambae ni mlemavu wa kimo kutoka Liwale Mkoani Lindi walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mbunge wa Liwale Mhe. Zuberi kuchauka (kulia) pamoja na wanandoa Ndg. Jivunie Mbunda ambae ni mlemavu wa kimo (kushoto) na Mkewe Ndg. Amina Mbunda wote kutoka Liwale Mkoani Lindi (wa pili kushoto) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Liwale Mhe. Zuberi kuchauka (kulia) na Wana ndoa Ndg. Amina Mbunda (kushoto) na Mumewe Ndg. Amina Mbunda (aliebebwa) ambae ni mlemavu wa kimo kutoka liwale Mkoani Lindi walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/spika-ndugai-akutana-na-kuzungumza-na_26.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA LIWALE MKOANI LINDI"
Post a Comment