DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA

DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akihitimisha hoja ya mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19, Bungeni, Dodoma, ambapo ameahidi kusimamia mapato na matumizi ya fedha za umma kwa ufanisi na kuwatahadharisha wabadhilifu wa fedha za umma kuwa ni sawa na kula sumu. 
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Naibu wake Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), wakifuatilia hoja za Mawaziri wakati wa kuhitimisha hoja ya mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19, Bungeni, Dodoma. 
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa kuhitimishwa kwa hoja ya mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19, Bungeni Dodoma, ambapo alizitaka Halmashauri kuendelea kubuni miradi ya kimkakati ili kujiongezea kipato.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia), na Waziri wa Madini, Mhe. Anjellah Kairuki (Mb), wakijadili jambo muda mfupi baada ya kuhitimishwa kwamjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2018/19, Bungeni Dodoma.
 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), akipongezwa na Mbunge wa Kiembe Samaki Mhe. Ibrahim Raza kwa hitimisho zuri la Hoja ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa kusisitiza weledi katika usimamizi wa fedha za umma.

 Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto) akipongezwa na Mbunge wa Kwimba Mhe. Mansoor Sharif, baada ya kuhitimisha ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mipango madhubuti ya kufikia uchumi wa kati. 




Hivyo makala DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/dokta-philip-mpango-ahitimisha-mjadala.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DOKTA PHILIP MPANGO AHITIMISHA MJADALA WA BAJETI BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment