ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII

ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII
kiungo : ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII

soma pia


ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII

Mwambawahabari

01
Mkurugenzi wa Kampuni Msama Auction Mart , Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Kampuni hiyo Kinondoni Moroco jama wakati akipmogeza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kwa hatua mbalimbali anazochukua kulinda kazi za wasanii zisiibiwa.
1
2
Mkurugenzi wa Kampuni Msama Auction Mart , Alex Msama akifafania jambo mbele ya waandishi wa habari wakati alipozungumza nao.
3
Baadhi ya wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii  wakichukua matukio katika mkutano huo.
………………………………………………………………………….
Kampuni ya Msama Auction Mart imempongeza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa kauli yake kuhusu wizi wa kazi za sanaa nchini.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Alex Msama amesema kuwa Kampuni yao imeona kuwa Waziri huyo ameonesha nia yakupoteza kabisa kazi feki za Sanaa.
Hatua hiyo ya Waziri pia itawagusa wenye kazi zao ambao ni Wasanii wa kazi hizo ikiwemo Wasanii wa Bongo Fleva, Nyimbo za Injili, Maigizo na Filamu.
Msama amesema kuwa doria za kumaliza wizi huo wa kazi za Wasanii inaendelea kwa nchi nzima, ambapo Mkoa mmoja tu ndiyo wenye ahueni yakupunguza wizi huo ambao ni Mwanza.
“Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo inategemea kuanza zoezi lakumaliza kazi feki za sanaa nchini, zoezi ambalo lisilokuwa na mwisho”, amesema Msama.
Pia Msama ameonya wale wote wanaofanya biashara za kuuza kazi feki, ambapo amesema kuwa watakapokamata Kompyuta za kufanyia kazi hizo basi hazitarudi tena kwa wahusika.
Wafanyabiashara wa Filamu za Nje nao wametakiwa kuacha kufanya biashara hizo bila kibali cha mwenye kazi husika, kwani hatua hiyo inaikosesha Serikali mapato.


Hivyo makala ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII

yaani makala yote ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/alex-msama-ampongeza-waziri-harisson.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ALEX MSAMA AMPONGEZA WAZIRI HARISSON MWAKYEMBE KWA KUPIGA VITA WIZI WA KAZI ZA WASANII"

Post a Comment