title : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu na Mtendaji Mkuu kutoka Benki ya NMB, Ndg. Ineke Bussemaker alipomtembelea leo Tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu na Mtendaji Mkuu kutoka Benki ya NMB, Ndg. Ineke Bussemaker alipomtembelea leo tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wageni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu kutoka NMB, Ndg. Ineke Bussemaker (kushoto kwake) walipomtembelea leo tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wageni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Ndg. Ineke Bussemaker (wa pili kulia) walipomtembelea leo tarehe 14 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/spika-job-ndugai-akutana-na-kuzungumza.html
0 Response to "SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU KUTOKA BENKI YA NMB OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment