Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi
kiungo : Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

soma pia


Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

Shirika la PELUM Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imeanza zoezi la kutoa hatimiliki za kimila zipatazo 747 kwa wananchi wa vijiji vitano ambao wamefanyiwa mpango wa matumizi ya ardhi kupitia mradi wa ushiriki wa wananchi katika kusimamia sekta ya kilimo ulio chini ya watu wa marekani 

Hatimiliki hizo zinatarajia kunufaisha wanawake 250, wanaume 385, wenza wenye ushiriki wa pamoja 97 pamoja na maeneo ya Taasisis 97 toka vijiji vya Usokame, Ugesa, Magunguli, Isaula na Makungu

Simon Mbago Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mufindi anayesimamia zoezi hili, mbali na kulishukuru Shirika la PELUM Tanzania kwa kufanya nao kazi kwenye vijiji hivyo amesema kufanyika kwa mpango wa matumzi ya ardhi hadi kufikia utoaji wa hatimiliki imesaidia kutekeleza majukumu ya Halmashauri ambayo yalipaswa kutekelezwa na Halmashauri husika.

“Ni jukumu la kila Halmshauri kuhakikisha inatenga fedha kwa ajili ya shughuli za maendeleo ili kufanyia vijiji vyake mpango wa matumizi ya ardhi lakini uwepo wa mashirika binafsi kutekeleza jukumu hili ikiwemo PELUM Tanzania imesaidia kwa kiwango kikubwa kuchochochea maendeleo katika Halmashauri yetu.”

Hivyo basi uwepo wa hatimiliki hizi tunazogawa zitasaidia wananchi wa Halmashauri yetu kuzitumia kuomba mikopo kwenye taasisi za fedha kwa kuweka dhamana maeneo yao jambo ambalo wamekuwa wakilisubiri kwa kipindi kirefu ili kuwawezesha kufanya shughuli nyingine za kiuchumi kupita fedha watakazopata.
Evance Kibasa Mwananchi kutoka kijiji cha Usokame akiwa na Hatimiliki yake ya kimila baada ya kukabidhiwa.
Mmoja wa wananchi toka kijiji cha Usokame akikabidhiwa hatimiliki ya kimila na Afisa Ardhi wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Simon Mbago
Asafu Mgelekwa na Mkewe Atuganule Lunyungu wakiwa na hati yao yenye umiliki wa pamoja
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Ugesa wakiwa na hatimiliki zao za kimila



Hivyo makala Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

yaani makala yote Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/hatimiliki-za-kimila-747-kutolewa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Hatimiliki za kimila 747 kutolewa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi"

Post a Comment