RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG

RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG
kiungo : RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG

soma pia


RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG

NA TIGANYA VINCENT,RS TABORA

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ameuagiza Katibu Tawala Mkoa (RAS) kuwachukuliwa hatua Wakuu wa Idara wote waliosababisha kuibuka kwa hoja za ukaguzi wa Hesabu za serikali katika Halmashauri mkoani humo.

Aliyasema hayo jana wilayani Nzega kwenye baraza maalumu la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo la kujadili na kujibu hoja za Mkaguzi wa hesabu za serikali kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni 30 mwaka huu.

Mwanri aliwataka RAS kuanza kuwachukulia hatua kwa kuwaondoa Wakuu wote wa Idara ambao wamekwenda kinyume cha taratibu na hivyo kuzisababishia Halmashauri zao kuwa na hoja.

Alisema hoja nyingi ambazo zimeibuka zinasababishwa na wakati mwingine manunuzi yaliyofanyika kukosa viambatanisho kama vile stakabadhi za malipo yaliyofanyika na nyingine kutofuata taratibu za manunuzi jambo ambalo linaloelekea katika matumizi mabaya ya fedha za umma.Mwanri alisema Serikali haiwezi kumvumilia Mtendaji au Mkuu yoyote wa Idara ambaye hana nidhafu katika matumizi ya fedha za umma na hivyo kusababisha hasara ambayo inapelekea baadhi ya miradi kutokamilika.

Mkuu huyo wa Mkoa alitoa Mwezi mmoja hoja zote zilizotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali zinapata majibu ikiwa na kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kusababishia Halmashauri ya Wilaya ya Nzega hasara.Alimwagiza Katibu Tawala Mkoa kuhakikisha kwa wale ambao walisababisha hasara Halmashauri hiyo kuwasiliana na Tamisemi hata kama wamehama warudishwe waje wajibu hoja zinazowakabili.

Katika hatua nyingine aliitaka Halmashauri hiyo kuja na utaratibu wa kulipa madeni ikiwa ni pamoja na ile asilimia 10 kwa ajili ya vijana , wanawake na walemavu.Alisema kuwa utaratibu huo ni lazima pia uonyesha jinsi pesa hizo zitakavyorejeshwa ili watu wengine waweze kukopa.

Naye Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Robert Makungu aliwataka watendaji mbalimbali kuwa na uzalendo wakati wa utekelezaji wa majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili kuhakikisha kila wanachokifanya kinazingatia maslahi mapana ya umma.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggre Mwanri akitoa maoni wakati wa Kikao maalumu cha Baraza la Madiwani cha kujadili ya kupitia taarifa ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kilichofanyika jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Robert Makungu akitoa maoni yake wakati wa Kikao maalumu cha Baraza la Madiwani cha kujadili ya kupitia taarifa ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kilichofanyika jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggre Mwanri akitoa ufafanuzi juu ya hoja mbalimbali wakati wa Kikao maalumu cha Baraza la Madiwani cha kujadili ya kupitia taarifa ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kilichofanyika jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
Mkaguzi Mkuu wa Nje wa Mkoani Tabora kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) Mohamed Msangi alitoa taarifa ya ukaguzi wakati wa Kikao maalumu cha Baraza la Madiwani cha kujadili ya kupitia taarifa ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kilichofanyika jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega wakiwa katika Kikao maalumu cha Baraza la Madiwani cha kujadili ya kupitia taarifa ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kilichofanyika jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega



Hivyo makala RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG

yaani makala yote RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rc-tabora-aagiza-kuchukuliwa-hatua-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC TABORA AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA KWA WATENDAJI WALIOSABABISHA KUWEPO HOJA ZA CAG"

Post a Comment