MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA
kiungo : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA

soma pia


MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA

 Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten Bi. Siri Pambe akisoma hundi ya Shilingi Milioni 200 kabla hajaikabidhi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya African Media Group Limited (AMBL)  Jaffari Haniu kama ilivyoahidiwa jana na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ili kununua vifaa kuimarisha utendaji wa televisheni hivyo. Akishuhudia kulia ni Katibu wa Mwenyekiti wa CCM Ndg. Ngusa Samike
 Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akimkabidhi  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya African Media Group Limited (AMBL)  Jaffari Haniu hundi ya shilingi Milioni 200 aliyoahidiwa jana na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ili kununua vifaa kuimarisha utendaji wa televisheni hivyo. Akishuhudia kulia ni Katibu wa Mwenyekiti wa CCM Ndg. Ngusa Samike
  Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akiongea machache baada ya kumkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya African Media Group Limited (AMBL)  Jaffari Haniu hundi ya shilingi Milioni 200 aliyoahidiwa jana na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ili kununua vifaa kuimarisha utendaji wa televisheni hivyo. Akishuhudia kulia ni Katibu wa Mwenyekiti wa CCM Ndg. Ngusa Samike
 Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya African Media Group Limited (AMBL)  Jaffari Haniu akitoa shukurani  baada ya kukabidhiwa hundi ya shilingi Milioni 200 aliyoahidiwa jana na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ili kununua vifaa kuimarisha utendaji wa televisheni hivyo. Akishuhudia kulia ni Katibu wa Mwenyekiti wa CCM Ndg. Ngusa Samike. PICHA NA IKULU


Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA

yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/mwenyekiti-wa-ccm-rais-dkt-magufuli_6.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AIPATIA CHANNEL TEN MILIONI 200 KAMA ALIVYOAHIDI JANA"

Post a Comment