RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI.

RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI.
kiungo : RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI.

soma pia


RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI.


Mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amepokea  shehena ya Vifaa vya matibabu  vyenye thamani ya shilingi  milioni 100  kutoka serikali ya Korea Kusini  kupitia shirika la  KOICA.

Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Digital X-ray 3, Ultrasound 1, Kabati la usalama wa viumbe  (safety cabinet) 1, Mashine 3 za kupima mkojo, mashine ya kuwapa joto watoto Njiti  (baby warmer) pamoja na mashine ya utakitshaji.

Baada ya kupokea vifaa hivyo kutoka kwa Balozi wa Korea kusini Bwana Geum Young Song RC Makonda  amekabidhi vifaa hivyo kwenye  vituo vya Afya vya Sinza, Mnazi Mmoja na Mbagala  ambako kuna uhaba wa vifaa.

Kabla ya kupokea vifaa hivyo  RC Makonda alifanya mazungumzo na Balozi  huyo wa Korea kusini na kuwasilisha ombi la kujengwa kwa Chuo cha kisasa cha mafunzo ya udaktari na ufunguzi  ambapo Balozi Geum Young Song amepokea kwa mikono miwili ombi hilo.

RC Makonda  pia amemueleza Balozi ombi la kujengwa kwa  kituo kikubwa cha upimaji wa magonjwa mbalimbali  kwa wananchi kwenye  eneo moja  ambapo pia Balozi amepokea  ombi hilo na kumsifu RC Makonda  kwa moyo wake wa kujali wananchi.

Kwa upande wake Balozi wa Korea Kusini nchini Tanzania  Bwana Geum Young Song amesema wametoa vifaa hivyo kuunga mkono kazi kubwa inayofanywa na Mkoa wa Dar es salaam katika uboreshaji wa sekta ya Afya  na wataendelea kusaidiana na serikali.


Hivyo makala RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI.

yaani makala yote RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/rc-makonda-apokea-shehena-ya-vifaa-vya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA APOKEA SHEHENA YA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA KOREA KUSINI."

Post a Comment