title : Rais Dk Shein awaapisha makamishna wa kamisheni ya utumishi wa umma leo Ikulu
kiungo : Rais Dk Shein awaapisha makamishna wa kamisheni ya utumishi wa umma leo Ikulu
Rais Dk Shein awaapisha makamishna wa kamisheni ya utumishi wa umma leo Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Mohammed Fakih Mohammed kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Jaji Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Balozi Hussein Said Khatib kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 24/09/2017
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Mabrouk Jabu Makame kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bw.Ali Rajab Juma kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimuapisha Bibi Rukia Mohammed Issa kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali, [Picha na Ikulu.] 24/09/2017.
Hivyo makala Rais Dk Shein awaapisha makamishna wa kamisheni ya utumishi wa umma leo Ikulu
yaani makala yote Rais Dk Shein awaapisha makamishna wa kamisheni ya utumishi wa umma leo Ikulu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein awaapisha makamishna wa kamisheni ya utumishi wa umma leo Ikulu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-dk-shein-awaapisha-makamishna-wa.html
0 Response to "Rais Dk Shein awaapisha makamishna wa kamisheni ya utumishi wa umma leo Ikulu"
Post a Comment