MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI

MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI
kiungo : MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI

soma pia


MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI

Wakati michuano ya Kombe la Dunia ikiendelea kushika kasi nchini Urusi, nikujuze machache ambayo yawezekana ulikuwa hauyafahamu.

Mshambuliaji Harry Kane anayichezea timu ya taifa ya England jana amefunga mabao matatu katika mchezo mmoja maarufu kama Hattrick na kuungana na wakongwe kama Gary Lineker pamoja na Geoff Hurst waliowahi kufanya hivyo pia.

Kane amekuwa mchezaji pekee aliyefunga mabao mengi mpaka sasa kwenye michuano hiyo, amefunga matano huku Cristiano Ronaldo kutoka Ureno na Romelu Lukaku wa Ubelgiji wakifunga manne kila mmoja.

Nahodha wa Panama, Felipe Baloy, amekuwa mmoja wa wachezaji waliofunga bao kwenye michuano ya Kombe la Dunia akiwa na umri mkubwa (miaka37 na miezi minne). Roger Milla kutoka Cameroon aliwahi kufanya hivyo akiwa na miaka 42 na mwezi mmoja.

Kane na Ronaldo ndiyo wachezaji pekee waliofunga mabao matatu katika mchezo mmoja tangu kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Urusi, Ronaldo alifunga dhidi ya Spain na Kane dhidi ya Panama jana.

Baada ya ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Panama jana, England wameendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo hata mmoja kati ya11 iliyopita, wameshinda 8 na sare 3.


Hivyo makala MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI

yaani makala yote MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mambo-makubwa-kombe-la-dunia-huko-urusi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAMBO MAKUBWA KOMBE LA DUNIA HUKO URUSI"

Post a Comment