Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi

Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi
kiungo : Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi

soma pia


Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi


 
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amefika nyumbani kwa kijana Richard Peter, ambaye amefariki siku za hivi karibuni kwa kupigwa risasi akiwa katika kituo cha polisi.

Akizungumza mbele ya familia hiyo ambapo alifika kwa ajili ya kutoa salamu za pole kutoka kwa Rais wa Magufuli, Lugola amesema polisi linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo ili watuhumiwa waweze kufikishwa mahakamani.

Lugola amesema; “ Rais alipopata taarifa zilimshtua na sababu moja kubwa ya kumshtua ni kwamba amefia kwenye eneo la polisi, kwa hiyo amenituma niwapeni pole sana”

"Niwaombe watanzania mliamini jeshi la polisi maana si jehi la kuua watu na wala hatufundishi askari wetu kuua watu kwa hiyo isitafsiriwe jeshi letu ni la kuua watu muwe nasubira" .Ameongeza Kangi Lugola.

Waziri huyo kwa sasa yuko ziarani Mkoa wa Arusha ambapo siku ya kwanza alizungumzia kuhusiana na tukio la kushambuliwa na Tundu Lissu pamoja na kuzungumza na madereva wa bodaboda mapema jana.


Hivyo makala Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi

yaani makala yote Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/waziri-lugola-afika-katika-kaburi-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Lugola afika katika kaburi la Kijana aliepigwa risasi Kituo cha Polisi"

Post a Comment