title : RONALDO KUJIBU MAPIGO YA HARRY KANE LEO DHIDI YA IRAN
kiungo : RONALDO KUJIBU MAPIGO YA HARRY KANE LEO DHIDI YA IRAN
RONALDO KUJIBU MAPIGO YA HARRY KANE LEO DHIDI YA IRAN
Michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi inaendelea tena leo kwa viwanja vitatu nyasi zake kuwaka moto.Nyota Cristiano Ronaldo atakuwa dimbani kuiongoza timu yake ya taifa kukipiga dhidi ya Iran katika mchezo wa Kundi B kwenye Uwanja wa Mordovia kuanzia saa 3 kamili usiku.
Kuelekea mechi hiyo, Ronaldo anapewa nafasi kubwa ya kuonesha ubabe wake wa kucheka na nyavu baada ya kutikisha kamba za wapinzani mara nne katika mechi mbili alizocheza.
Endapo Ronaldo atafunga bao moja dhidi ya Iran atakuwa amemzidi nyota wa England, Harry Kane aliyefikisha mabao matano katika mashindano hayo.
Mechi nyingine zitakazopigwa ni Misri ambao wameshaaga mashindano wakapiga dhidi ya Saudi Arabia majira ya saa 11 jioni huku pia Uruguay wakikipiga na wenyeji Urusi muda huohuo wa saa 11.
Hivyo makala RONALDO KUJIBU MAPIGO YA HARRY KANE LEO DHIDI YA IRAN
yaani makala yote RONALDO KUJIBU MAPIGO YA HARRY KANE LEO DHIDI YA IRAN Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RONALDO KUJIBU MAPIGO YA HARRY KANE LEO DHIDI YA IRAN mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/ronaldo-kujibu-mapigo-ya-harry-kane-leo.html
0 Response to "RONALDO KUJIBU MAPIGO YA HARRY KANE LEO DHIDI YA IRAN"
Post a Comment