Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo

Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo
kiungo : Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo

soma pia


Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika .
2 3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Mauritania Mhe. Yahya Hademine mara baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa Nouakchott usiku huu tayari kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 


Hivyo makala Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo

yaani makala yote Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/makamu-wa-rais-awasili-mauritania-na_30.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais Awasili Mauritania na kupokelewa na Waziri Mkuu wa Nchi Hiyo"

Post a Comment