NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80

NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80
kiungo : NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80

soma pia


NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80

Na Leandra Gabriel, blogu ya jamii

ALIYEKUWA katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Atta Annan (80) amefariki dunia leo katika hospitali ya Bern nchini Uswizi baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Kofi alikuwa  Mwafrika wa kwanza kutoka nchini Ghana kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa na alihudumu kwa awamu mbili kuanzia Januari 1997 hadi Desemba 2016.

Baadaye alichaguliwa kuwa mmoja wa wajumbe katika kusuluhisha mzozo nchini Syria na alichangia katika kuleta suluhu.

Kofi Atta Annan alikuwa mwanzilishi na mwenyekiti wa taasisi ya Kofi Annan na mwenyekiti wa wazee katika shirika la kimataifa lililoanzishwa na aliyekuwa Rais wa Afrika ya kusini Nelson Mandela.

Kofi alizaliwa  Aprili 8, 1938 huko Kumasi nchini Ghana na alisoma taaluma mbalimbali ikiwemo Uchumi aliyosoma katika Chuo cha Macalester na Uhusiano wa Kimataifa katika chuo cha Geneva ,Alianza kuitumikia UN mwaka 1962 katika shirika la afya Duniani  (WHO.) Na ameshinda tuzo mbalimbali ikiwemo ya kulinda amani 2001.

Kofi ameacha mke (bi Nane Maria Annan) na watoto (Kojo, Ama na Nina) ambao walikuwa karibu naye  hadi umauti unamfika.
 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Atta Annan


Hivyo makala NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80

yaani makala yote NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/newz-alertkofi-annan-afariki-dunia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWZ ALERT:KOFI ANNAN AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 80"

Post a Comment