Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa

Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa
kiungo : Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa

soma pia


Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa

 Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago akifungua mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.Kulia kwake ni Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa na wa kwanza kushoto ni Meneja wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Iringa Bw.Baraka Mwambene.
 Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa akielezea ufanyaji kazi wa  Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.Kulia kwake ni Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago.

  Wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro wakifuatilia mafunzo ya mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) leo Mkoani Iringa.
 Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI  Bw.Juma Shaha akielezea umuhimu wa matumizi ya mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.

Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,IRINGA


Hivyo makala Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa

yaani makala yote Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/mafunzo-ya-mfumo-wa-usimamizi-wa-fedha_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa"

Post a Comment