title : KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA
kiungo : KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA
KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiongoza kikao cha Wajumbe wa chama cha kikomonisti Cha china (CPC) kwa ajili ya maandalizi ya Uwekaji wa jiwe la msingi chuo cha chama Kibaha pamoja na Mkutano wa CPC na Africa leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akipeana Mkono na Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika katika chama cha Kikomonisti China Wang Heming mara baada ya kikao cha maandalizi ya Uwekaji wa jiwe la msingi chuo cha chama Kibaha pamoja na Mkutano wa CPC na Africa leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi akizungumza,leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi akipokea zawadi toka kwa mjumbe wa CPC.
Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally (kulia) akikabidhiwa zawadi ya Picha ya Utamaduni toka kwa Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Afrika katika chama cha Kikomonisti China Wang Heming leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.(Picha na Fahadi Siraji wa UVCCM)
Picha Mbali mbali za pamoja kati ya Viongozi wa CCM pamoja na Ujumbe wa chama cha Kikomonisti nchini china leo katika ukumbi wa Kamati Kuu ya CCM, ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete nje kidogo ya Mji wa Dodoma.
Hivyo makala KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA
yaani makala yote KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/katibu-mkuu-wa-ccm-dkt-bashiru-ally.html
0 Response to "KATIBU MKUU WA CCM DKT BASHIRU ALLY AONGOZA KIKAO CHA CCM NA UJUMBE WA CPC LEO JIJINI DODOMA"
Post a Comment