title : STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI
kiungo : STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI
STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI
Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa yake ya StarTimes imefanya hafla fupi ya kumkutanisha muigizaji maarufu wa China Hai Qing maarufu kama Mau Dou Dou na wasanii wa Kitanzania pamoja na mashabiki wake.
Hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere (NICC) na kuhudhuriwa na wasanii mbalimbali maarufu akiwemo Natasha, Yvone na Davina.
Mwigizaji maarufu wa China, Hai Qing maarufu kama Mau Dou Dou amekuja nchini Tanzania kwa ziara ya siku mbili ambapo moja ni kutangaza kampuni ya Startimes.
Makamu wa Rais wa Startimes Tanzania, Zuhura Hanif amesema kuwa msanii huyo sehemu kubwa anatangaza Kiswahili katika king’amuzi cha Startimes.
Amesema kuwa msanii huyo amekuwa na kazi nyingi kwa Ubalozi wa nchini China pamoja na Startimes ikiwa ni kukuza Kiswahili.

Mwigizaji maarufu wa China, Hai Qing "Mau Dou Dou" (kushoto) akizungumza jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari, wasanii wa filamu nchini pamoja na mashabiki wake leo Jijini Dar es Salaam.

Meneja Masoko na Mahusiano wa StarTimes Tanzania, Juma Sharobaro(kulia) akifanya mahojiano na Mwigizaji maarufu wa China, Hai Qing "Mau Dou Dou" alipokutana na wasanii wa filamu pamoja na mashabiki wake leo kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Startimes Tanzania, Zuhura Hanif (kulia) akimkabidhi tuzo Mwigizaji maarufu wa China, Hai Qing "Mau Dou Dou" (kushoto) kwa niaba ya watanzania ambao ni mashabiki wake.

Msanii wa filamu nchini Tanzania, Suzan Lewis "Natasha "(kulia) akitoa shukrani kwa niaba ya wasanii wa filamu nchini wakati wa ziara ya Mwigizaji maarufu wa China, Hai Qing "Mau Dou Dou" alipofika na kufanya mazungumzo nao leo jijini Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI
yaani makala yote STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/02/startimes-yamkutanisha-staa-mau-dou-dou.html
0 Response to "STARTIMES YAMKUTANISHA STAA MAU DOU DOU NA WASANII WA FILAMU NCHINI"
Post a Comment