DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI

DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI
kiungo : DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI

soma pia


DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI





Na. John Luhende 
Mwamba wa habari
Viongozi wa dini Wilayani Ilala wametakiwa kusaidia katika kufundisha maadilimema kwa watoto ili wabaki na maadili na tamaduni za kitanzania ,na kuahidi kuwa  Serikali itaendelea kushirikiana na viongozi hao.



Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala wakati akitoa neno lashukra katika Futari  aliyo waandalia Watoto yatima wa wilaya hiyo ambapo pia vingozi   wa dini mbalimbali  na wanachi walijumuika  pamoja .

‘’Viongozi wetu wa dini tuna taka tuwatumie kunapokuwa na mambo magumu tutaendelea kushirikiana nayi katika yote tunayo fanya masuala ya imani yanahitajika naninyi ndiyo kazi yenu ushirikiano huu hautaishia kwenye Futari,’’alisema
Aidha amewataka  wananchi kuitunza amani yanchi na kuwataka kufanya kazi kwa bidii kuijenga nchi na ikiwa kunajamba ambalo haliendi sawa wasisite kutoa ushauri kwa vongozi wao ili kuendeleza amani na umoja wa kitaifa .

‘’ kila mmoja wetu afanye kazi na awe mmbunifu ili kuendeleza Tanzania ya viwanda na kwa  mlio kuwa mmefunga  tueendelee kuwa wasafi tusije kuhabu tena kwa siku zilizobakia,’’ alisema

Pamoja na hayo Mhe. Mjema  amewashukuru madiwani wa Maispaa ya Ilala kwa umoja wao bila kujali itikadi zao za kisiasa na kushirikiana kwa kila jambo na kufanikisha mabo mbalimbali ya maendeleo bila ubaguzi  na kuwataka kuendelea na moyo huo huo kwa sikuzijazo.

Kwaupande wake Shekhe wa Wilaya ya Ilala Adam Mwinyipingu amewataka waislam kuzingatia maagizo ya viongozi wao katika kuswali swala ya Eid itakayo swaliwa kitaifa katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.




Hivyo makala DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI

yaani makala yote DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/dc-mjema-afutrisha-watoto-yatma-atoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC MJEMA AFUTRISHA WATOTO YATMA ,ATOA NENNO KWA VIONGOZI WA DINI"

Post a Comment