DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA.

DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA.
kiungo : DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA.

soma pia

DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Viongozi na Wananchi wa  Mkoa wa Mjini Magharibi  katika Futari aliyowaandalia jana katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar  ikiwa ni mwendelezo wake wa kufutarisha kila ifikapo kipindi kama hichi,(kulia) Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt.Amani Abeid Karume

Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni mwendeleo wake kila ifikapo mwezi 27 ya Mfungo wa Ramadhan kuwafutarisha Wananchi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na Viongozi Wanawake na Wananchi wengine katika Futari aliyoandaliwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana
Baadhi ya Akinamama wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar katika  mwendelezo wake wa kuwafutarisha Wananchi hao kila ifikapo Mwezi 27 wa Mfungo wa Ramadhan

Kadhi Mkuu wa Zanzibar  Sheikh Khamis Haji (kulia) alipokuwa akisoma Dua kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) baada ya futari aliyoiandaa kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar, ikiwa ni mwendelezo wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Mikoa huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mabalozi wa Nchi za Nje waliohudhuria katika Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana  katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa  Mikoa huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Wananchi mbali mbali  waliohudhuria katika Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi jana  katika Viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa  Mikoa huo kila ifikapo mwezi 27 ya Mfungo wa Ramadhan,[Picha na Ikulu.] 12/06/2018.   

Hivyo makala DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA.

yaani makala yote DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/dkshein-awafutarisha-wananchi-mkoa-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DK.SHEIN AWAFUTARISHA WANANCHI MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA."

Post a Comment