title : Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
kiungo : Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
Mwamba wa habari
TumeyaTaifayaUchaguzi (NEC) itafanyauchaguzimdogokwenyeJim bo la Buyungu, MkoaniKigomanakwenye Kata 79 za Tanzania Bara, Mwenyekitiwa NEC, Jaji (R), SemistoclesKaijageamesema.
AkizungumzaJijiniDar es Salaam jana, JajiKaijageamesemauchaguzihuou tafanyikatarehe 12 mwenziujao (Agosti) nafomuzauteuziwawagombeazitato lewakuanziatarehe 8 hadi 14 mwenzihuu (Julai).
" UteuziwaWagombeautafanyikatare he 14 Julai, mwakahuu. KampenizaUchaguzizitafanyikaka tiyatarehe 15 Julai, haditarehe 11 Agosti, mwakahuunasikuyauchaguziitakuw anitarehe 12 Agostimwakahuu,” alisema.
JajiKaijageamebainishakwambaTu meimetangazauwepowanafasiwaziy aUbungekwenyeJimbohilo la Buyungubaadayakupokeataarifaku tokakwaSpikawa Bunge la JamhuriyaMuungano, Ndugu Job Ndugai.
“ TumeilipokeabaruakutokakwaSpik awa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania ambayekwakuzingatiakifungu cha 37(3) cha SheriayaTaifayaUchaguzi, Suraya 343, aliitarifuTumeuwepowanafasiwaz iyaMbungewaJimbo la BuyungukatikaHalmashauriyaKako nkoMkoaniKigomakufuatiakufarik ikwaaliyekuwaMbungewaJimbohilo MheshimiwaKasuku Samson Bilago,” alisema.
Kwa upandewanafasiwazizaUdiwani, MwenyekitihuyoalisemaTumeilipo keataarifakutokakwawazirimweny edhamanaakiitaarifujuuyauwepow anafasihizonataratibuzauchaguz imdogozikaanzamaramoja.
“TumeimepokeaTaarifakutokakwa Waziri mwenyedhamananaSerikalizaMitaa ambayekwakutumiamamlakaaliyope wachiniyaKifungu cha 13(1) cha SheriayaUchaguziyaSerikalizaMi taa, Suraya 292, aliitarifuTumeuwepowanafasiwaz izaMadiwanikatika Kata 79 za Tanzania Bara,” alisema.
Akitoawitokwavyamavyasiasa, JajiKaijageamesema “tunapendakuvikumbushaVyamavya Siasanawadauwotewauchaguzikuzi ngatiaSheria, Kanuni, MaadiliyaUchaguzi, Taratibu, Miongozonamaelekezoyotewakatiw akipindi cha Uchaguzimdogo”.
JajiKaijagealisemakwambauchagu zihuomdogoutafanyikandaniyaHal mashauri 43zilizopokwenyeMikoa 24ya Tanzania Bara.
Mikoahiyonipamojana, Kigoma, Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kagera, Katavi, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Mwanza, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida, Songwe, TaboranaTanga.
HalmashaurihizonipamojanaMoshi , Ruangwa, Mbulu, Hanang, Babati, Serengeti, Tarime, Kyela, Mtwara, Newala, Kilombero, Kilosa, Kwimba, Makete, Wanging’ombe, Kalambo, Songea, Msalala, Meatu, Singida, Songwe, Tunduma, Tabora, Nzega, UrambonaTanga.
HalmashaurinyinginenipamojanaKHivyo makala Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79
yaani makala yote Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/uchaguzi-mdogo-jimbo-moja-na-kata-79.html
0 Response to "Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79"
Post a Comment