AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA.

AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA.
kiungo : AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA.

soma pia


AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA.

Michuano ya Kombe la Dunia Urusi inaendelea tena leo ambapo Afrika itakuwa inawakilishwa na timu mbili. 
Senegal ambayo ilikubali kwenda sare ya mabao 2-2 na Japana katika mchezo uliopita itakuwa inakipiga dhidi ya Colombia leo kwenye mchezo wa kundi H, mchezo ukianza saa 11 jioni.Ili Senegal iweze kusonga mbele inahitaji kufanya vizuri mchezo wa leo huku ikiombea Japan iweze kupoteza dhidi ya Poland au mechi iende sare.
Vilevile Tunisia ambao tayari wameshayaaga mashindano watakuwa wanacheza dhidi ya Panama kwenye mchezo kundi G, mechi ikianza saa 3 kamili usiku.
Michez mingine itakuwa baina ya England dhidi ya Belgium kutoka kundi G kuanzia saa 3 kamili usiku huku Japana na Poland nao wakicheza saa 11 jioni.


Hivyo makala AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA.

yaani makala yote AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/afrika-senegal-tunisia-kibaruani-kombe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AFRIKA : SENEGAL, TUNISIA KIBARUANI KOMBE LA DUNIA."

Post a Comment