VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI.

VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI.
kiungo : VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI.

soma pia


VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI.


Baadhi ya viongozi wa Simba wakiwa wanasukuma mizigo tayari kwa safari ya kwenda nchini Uturuki.
MWAMBA WA HABARI.
Baadhi ya viongozi wa Mabigwa wa ligi kuu Tanzania Bara Simba Sport Klabu wameanza safari ya kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na ligi Kuu inayotarajia kuanza kutimua vumbi mwezi ujao.

Simba inakwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu ujao kwa ajili ya kuhakikisha inatetea kombe la ligi.

Safari ya viongozi hao wameondoka likiongozwa na Kocha Msaidizi, Masoud Djuma pamoja na Kocha wa Makipa, Mohamed Mwarami, Daktari wa timu, Yassin Gembe na meneja wa timu hiyo.

Kundi  linakalofuatia ni wachezaji ambalo linatarajia kufunga safari ya Uturuki tayari kwa kuanza kambi hiyo.


Hivyo makala VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI.

yaani makala yote VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/viongozi-simba-watangulia-uturuki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VIONGOZI SIMBA WATANGULIA UTURUKI."

Post a Comment