MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA

MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA
kiungo : MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA

soma pia


MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea ,  Lee Nak -Yon wakati mgeni huyo alipowasili kwenye ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam kwa mazungumzo rasmi ya kiserikali, Julai 22, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea,  Lee Nak - Yon  (kushoto ) wakiwa katika mazungumzo rasmi ya kiserikali kwenye ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam Julai 22, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - Yon (kushoto) wakishuhudia wakati Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Augustine Mahiga  na  Makamu wa Kwanza wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Korea, Lim Sung - Nam  (kushoto) walipotia saini Mkataba  wa kuondoa Hitaji la Viza za Kusafiria kwa Watu Wenye Hati za Kusafiria za Kidiplomasia na Kikazi, kwenye ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam Julai 22, 2018
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumnza na waandishi wa habari wakati alipotoa taarifa kuhusu mazungumzo rasmi ya kiserikali kati yake na Waziri Mkuu na Korea, Lee Nak- Yon (kushoto) kwenye ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam Julai 22, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri  Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - Yon baada ya mazungumzo rasmi ya kiserikali kati yao yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Kikwete, Ikulu jijini Dar es slaam, Julai 22, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA

yaani makala yote MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/mazungumzo-rasmi-ya-kiserikali-kati.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAZUNGUMZO RASMI YA KISERIKALI KATI MAWAZIRI WAKUU WA TANZANIA NA JAMHURI YA KOREA"

Post a Comment