WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP

WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP
kiungo : WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP

soma pia


WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amekutana na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi ili kuzungumza na kutambua fursa zinazopatikana za uwekezaji katika sekta ya Ardhi nchini.

Dkt. Mengi amekutana na Mhe. Lukuvi ofisi kwake kanda ya Dar es salaam ambapo wamejadili mambo mbalimbali ambayo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyafanya katika sekta ya ardhi ambayo na kutoa fursa  kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza kwa urahisi.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (kushoto) akizungumza  na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi(kulia) alipomtembelea ofisini kwake kanda ya Dar es salaam .
    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akipokea nyaraka ya makusudio ya kuwekeza katika ardhi kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Dkt. Reginald Mengi.


Hivyo makala WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP

yaani makala yote WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/waziri-lukuvi-afanya-mazungumzo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP"

Post a Comment