Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga

Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga
kiungo : Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga

soma pia


Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Mahiga amesema Watanzania waishio nje ya nchi wanatuma zaidi ya Sh trilioni moja nchini kwa mwaka.

Waziri Mahiga ametoa taarifa hiyo bungeni jijini Dodoma leo Mei 23, wakati akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/19.

“Watanzania hao wamekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kwa kuwa baadhi yao wamenunua nyumba zenye thamani ya Sh bilioni 29.7 kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).

“Aidha, katika sekta ya afya, timu ya madaktari wa Kitanzania waishio Marekani kupitia taasisi ya afya, elimu na maendeleo ilitoa huduma ya afya bila malipo na vifaa tiba,” amesema.

Pamoja na mambo mengine, Waziri Mahiga amesema Tanzania kama nchi huru haiwezi kuchaguliwa maadui na marafiki duniani na kwamba itaendelea kushirikiana na mataifa mbalimbali duniani kulingana na jinsi itakavyoona inafaa.


Hivyo makala Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga

yaani makala yote Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/watanzania-waishio-nje-hutuma-fedha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Watanzania Waishio Nje Hutuma Fedha Nyingi ...Balozi Mahiga"

Post a Comment