title : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Aaza Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha leo.
kiungo : Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Aaza Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha leo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Aaza Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya Kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege kwenda mkoani Arusha kwa ajili ya ziara ya Kikazi.
Picha na Ikulu.
Hivyo makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Aaza Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha leo.
yaani makala yote Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Aaza Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Aaza Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/rais-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_20.html
0 Response to "Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli Aaza Ziara ya Kikazi Mkoani Arusha leo."
Post a Comment