Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma

Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma
kiungo : Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma

soma pia


Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma

Wahandisi Kamel Fazhani (kulia) na Marrarchi Walis (kushoto) wa Kampuni ya Studi ya Tunisia wakiwasilisha usanifu wa awali wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Dodoma leo katika ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), mbele ya wadau mbalimbali wa masuala ya usafiri wa anga.
Meneja Mipango na Usanifu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mohamed Millanga (wa kwanza kushoto), akiangalia moja ya picha (hazionekani pichani) za usanifu wa awali wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Dodoma, uliowasilishwa leo na Wahandisi Marrarchi Walis na Kamel Fazhani wa Kampuni ya Studi ya Tunisia kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha ndege cha Julius Nyerere (JNIA), ambapo uliudhuriwa na wataalam mbalimbali wa usafiri wa anga.
Mhandisi Bernard Kavishe (aliyesimama) wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), akichangia hoja katika mkutano uliofanyika leo wa uwasilishaji wa usanifu wa awali wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Dodoma, uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), ambapo umewasilishwa na wataalam kutoka Kampuni ya Studi ya Tunisia.
Bw. Said Mpwili wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) (nyuma aliyenyanyua mkono), akiwasilisha mapendekezo ya ujenzi wa mnara wa kuongozea ndege kwa wataalam kutoka Kampuni ya Studi ya Tunisia, ambao leo katika ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), wamewasilisha usanifu wa awali wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Dodoma.
Mwonekano wa Jengo la abiria la Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Msalato Dodoma, uliowasilishwa leo katika usanifu wa awali kwenye ukumbi wa mikutano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na wataalamu kutoka Kampuni ya Studi ya Tunisia.

Picha na Bahati Mollel wa TAA


Hivyo makala Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma

yaani makala yote Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/wataalam-wawasilisha-usanifu-wa-awali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wataalam Wawasilisha Usanifu Wa Awali Wa Kiwanja Cha Ndege Cha Kimataifa Cha Msalato Dodoma"

Post a Comment