Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba.

Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba.
kiungo : Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba.

soma pia


Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba.

Msema chochote (MC)Makame Abdalla akitoa neno la shukurani kwa mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mh, Chumu Kombo Khamis wapili kuli katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kwambani wakiimba Wimbo wa Udhalilishaji mbele ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mh, Chumu Kombo Khamis (hayupo pichani)katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba
Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mh, Chumu Kombo Khamis akiweka Fedha ikiwa ni ishara ya kuwatunza Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kwambani walipokuwa wakiimba Wimbo wa Udhalilishaji )katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.
Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja Wakiimba na kucheza Ngoma ya Chaso katika Usiku wa sanaa Uliofanyika katika Ukumbi wa Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake Pemba.


Hivyo makala Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba.

yaani makala yote Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/tamasha-la-elimu-bila-ya-malipo-lafana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Tamasha la Elimu Bila ya Malipo Lafana Kisiwani Pemba."

Post a Comment