title : TANZIA:DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) AFARIKI DUNIA
kiungo : TANZIA:DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) AFARIKI DUNIA
TANZIA:DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) AFARIKI DUNIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi anasikitika kutangaza kifo cha Daktari bingwa wa usingizi kwa watoto na wagonjwa mahututi Onesmo Mhewa kilichotokea jana jioni tarehe 02/05/2018.
Mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhi maiti cha Hospitali ya Taifa Muhimbili na unatarajiwa kusafirishwa kesho tarehe 04/05/2018 kwenda katika kijiji cha Nzihi kilichopo Iringa vijijini kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika tarehe 05/05/2018.
Heshima za mwisho zitatolewa kesho tarehe 4/5/2018 katika ukumbi wa kufundishia uliopo chumba cha kuhifadhia maiti Muhimbili kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 3 na baadaye nyumbani kwa kaka wa Marehemu kuanzia saa 6 mchana.
Kwa namna ya kipekee Prof. Janabi anatoa pole kwa familia ya Marehemu, Wafanyakazi wote, ndugu, jamaa, marafiki pamoja na wote walioguswa na msiba huu.
Msiba uko nyumbani kwa kaka wa marehemu Ndugu Lumumba Mhewa mtaa wa Mivumoni Madale.
“Bwana Ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe”.
Imetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
03/05/2018
Hivyo makala TANZIA:DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) AFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA:DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA:DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/tanziadaktari-bingwa-wa-usingizi-kwa.html
0 Response to "TANZIA:DAKTARI BINGWA WA USINGIZI KWA WATOTO NA WAGONJWA MAHUTUTI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) AFARIKI DUNIA"
Post a Comment