YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER

YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER
kiungo : YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER

soma pia


YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER


Na Agness Francis,Blogu ya Jamii

KIKOSI cha Timu ya Yanga SC kimeondoka leo kuelekea nchini Algeria kwa ajili ya kucheza na Timu ya  USM  Alger Nchini Algeria katika hatua ya makundi kombe la Shirikisho barani Afrika.

Wawakishilishi hao wa Tanzania  ambao wanatarajia kucheza na USM Alger katika mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi  kombe la shirikisho wanaondoka leo saa 11 jioni kupitia Dubai.

Yanga wamesafiri na wachezaji 20 pamoja na viongozi 8 wakiwepo na benchi la ufundi ambapo mtanange huo utachezwa nchini Algeria  Mei 6  mwaka huu  saa 4 Usiku.

Akizungumza leo katika Makao makuu ya Yanga jijini Dar es Salaam, Msemaji wa kikosi hicho Dismas Ten amewataja baadhi ya wacheza ambao wapo katika msafara huo ni Rostand Youth,Ramadhani Kabwili,Gadiel Maiko,Obrey Chirwa,Pato Ngonyani,Kelvin Yondani,Ibrahim Ajibu. Dismas Ten amesema wachezaji hao ni wale ambao wapo katika programu ya mwalimu,

"Tunahitaji matokeo na maandalizi ya muhimu yameshafanyika ukizingatia tupo ugenini.Mchezo ni mgumu na kikosi cha USM Alger kipo vizuri, si timu ya kuibeza wapo kwenye michuano haya ya kimataifa kwa mudu mrefu,"amesema.



Hivyo makala YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER

yaani makala yote YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/yanga-yakwea-pipa-kuwafuata-usm-alger.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YANGA YAKWEA PIPA KUWAFUATA USM ALGER"

Post a Comment