POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA

POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA
kiungo : POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA

soma pia


POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA

Na Emmanuel Masaka, Globu ya jamii
KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa  amesema hali ya usalama ya Jiji hilo ni shwari  huku akielezea matukio kadhaa ambayo yametokea katika kukabiliana na matukio ya uhalifu.

Mambosasa amezungumza leo jijini Dar es Salaam ambapo ameelezea pia kukamatwa kwa watu 10 wanaotuhumiwa kwa ujambazi wa kutumia silaha.

Amewataja watuhumiwa hao ni Bushiri Ally (29) mkazi wa Tandika, Mohamed Ismaili (18) mkazi wa Tandika, Issa Saidi (19) mkazi wa Yombo, Mlekwa Ally (18) mkazi wa Tandika, Shabani Nassoro (17) mkazi wa Tandika, na watano wengine ambao majina yao wameyahifadhi kwa sababu za kiupelelezi.

Mambosasa amesema Aprili 29 mwaka huu, saa sita usiku katika maeneo ya Tandika Foma askari wakiwa doria waliitilia shaka gari namba T 401 CLF aina ya Toyota Alteza rangi ya fedha na kuanza kulifuatilia kisha kulikamata na kukuta watu watano wakiwa ndani ya gari hilo.

Amefafanua askari waliwaweka chini ya ulinzi watu hao na kufanya upekuzi ndani ya gari hilo na kufanikiwa kukamata  Bastola aina ya Browning yenye namba N635BRE ikiwa na risasi mbili ndani ya Magazine ikiwa na Watuhumiwa waliokamatwa kwenye gari hiyo ni Bushiri Ally (29) mkazi wa Tandika, Mohamed Isimaili (18) mkazi wa Tandika, Issa  Saidi (19) mkazi wa Yombo, Mlekwa Ally (18) mkazi wa Tandika na Shabani Nassoro (17) mkazi wa Tandika.

"Watuhumiwa hao walihojiwa na mtumiwa mmoja Bushiri Ally alikiri bastola hiyo ni ya kwake na aliiokota Tandika mtaa wa Mteja mwaka 2014 na huwa anaitumia kufanyia vitendo vya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji,"amesema.

Katika tukio lingine Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kukutwa na Bastola 2 na risasi 16, nyundo moja na bisisi  tatu ambavyo walikuwa wakivitumia katika matukio mbalimbali ya uhalifu wa wizi wa magari hapa Jijini.
Amesema watuhumiwa hao walikamatwa kutokana na operesheni kali inayoendelea kufanyika dhidi ya wezi wa magari na wahalifu wanaotumia silaha.
 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akionesha silaha mbalimbali zilizo kamatwa na Jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali  jijini Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akizungumza na waandishi wa habari leo juu kukamatwa kwa watuhumiwa kumi kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha. (Picha na Emmanuel Massaka Globu ya jamii)

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA

yaani makala yote POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/polisi-kanda-maalum-dar-yawashikilia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "POLISI KANDA MAALUM DAR YAWASHIKILIA WATU 10 KWA TUHUMA ZA WIZI WA KUTUMIA SILAHA"

Post a Comment