title : NAIBU WAZIRI WA KILIMO AWAONYA MAWAKALA MAZAO YA WAKULIMA,MBOLEA
kiungo : NAIBU WAZIRI WA KILIMO AWAONYA MAWAKALA MAZAO YA WAKULIMA,MBOLEA
NAIBU WAZIRI WA KILIMO AWAONYA MAWAKALA MAZAO YA WAKULIMA,MBOLEA
Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
NAIBU Waziri wa Kilimo Omari Mgumba ametoa onyo kali kwa madalali wanaowauzia wakulima wa mazao ya chakula,biashara na mbolea kwa bei ya Sh.70,000 badala ya kufuata bei elekezi ya Sh.64,700 kwa mfuko mmoja .
Akiwa Katika ziara mkoani Iringa ya ukaguzi wa upatikanaji wa mbolea kwenye maghala ya Serikali na wawekezaji waliopo mkoani hapa.
Naibu Waziri huyo was Kilimo amewataka madalali hao kuacha mara moja tabia hiyo kwani Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk.John Magufuli haina utani katika kuwasaidia watu maskini na wanyonge.Ameamua kutoa onyo hilo baada ya wananchi wa kijiji cha Ngulwe wilayani Kilolo kutoa malalamiko yao wakati wa kikao kilichowahusisha wakulima ,wadau pamoja na Naibu Waziri hugo.
“ Wananchi nimeskia malalamiko yenu kuhusu bei ya mbolea, nitoe rai kwa wauzaji wa mbolea nchi nzi.a kufahamu atakeyeuza mbolea kwa bei tofauti na elekezi iliyopangwa na Serikali tutamchukulia hatua za kisheria,"amesema Mgumba.Aidha amewatoa hofu wakulima wote nchini kuhusu upatikaji wa mbolea katika kipindi cha kuelekea msimu wa kilimo na kwamba Serikali imejidhatiti kikamilifu na mbolea ipo ya kutosha.
Imeelezwa wakulima wengi nchini wamekuwa katika changamoto ya upatikanaji wa mbolea ambapo hapo awali kulikuwa na Mbolea waagizaji zaidi ya mmoja hali iliyosababisha usumbufu kwa wakulima na kwa bei ya juu.Kutokana na hiyo Serikali kuingilia kati kwa kuweka Wakala Maalum wa kuagiza mbolea kutoka nje ya nchi na kutoa bei elekezi kwa wauzaji.

Naibu Waziri Omari Mgumba akizungumza na Wakulima wa Kijiji cha Ngulwe.
Naibu Waziri Omari Mgumba akipata maelezo mafupi kutoka mmoja wa wauzaji wa Mbolea.
Naibu Waziri Omari Mgumba akikagua Maghara ya kuhifadhia Mbolea mkoani Iringa.

Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA KILIMO AWAONYA MAWAKALA MAZAO YA WAKULIMA,MBOLEA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA KILIMO AWAONYA MAWAKALA MAZAO YA WAKULIMA,MBOLEA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA KILIMO AWAONYA MAWAKALA MAZAO YA WAKULIMA,MBOLEA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/naibu-waziri-wa-kilimo-awaonya-mawakala.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI WA KILIMO AWAONYA MAWAKALA MAZAO YA WAKULIMA,MBOLEA"
Post a Comment