title : MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) ATOA TAARIFA YA UTENDAJI WA TPC KWA KIPINDI CHA MWAKA 2016/2017
kiungo : MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) ATOA TAARIFA YA UTENDAJI WA TPC KWA KIPINDI CHA MWAKA 2016/2017
MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) ATOA TAARIFA YA UTENDAJI WA TPC KWA KIPINDI CHA MWAKA 2016/2017
Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa taarifa ya utendaji ya shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017. Kulia ni Kaimu Postamasta Mkuu, Hassan Mwang'ombe.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Hassan Mwang'ombe, akijibu maswali ya waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Haruni Kondo na kushoto ni Meneja Rasilimali za Shirika wa TPC, Macrice Mbodo.
Kaimu Meneja Uendeshaji Biashara wa Shirika la Posta, Mwanaisha Saidi (kulia), akijibu badhi ya maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano cha Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari, wakati Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo alipokuwa akitoa taarifa ya utendaji ya shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo, wakati akitoa taarifa ya utendaji wa Shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kazini wakati Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo, akitoa taarifa ya utendaji wa Shirika kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya watendaji wa Shirika la Posta Tanzania, wakiwa katika mkutano huo na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) ATOA TAARIFA YA UTENDAJI WA TPC KWA KIPINDI CHA MWAKA 2016/2017
yaani makala yote MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) ATOA TAARIFA YA UTENDAJI WA TPC KWA KIPINDI CHA MWAKA 2016/2017 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) ATOA TAARIFA YA UTENDAJI WA TPC KWA KIPINDI CHA MWAKA 2016/2017 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/mwenyekiti-wa-bodi-ya-wakurugenzi-ya.html
0 Response to "MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) ATOA TAARIFA YA UTENDAJI WA TPC KWA KIPINDI CHA MWAKA 2016/2017"
Post a Comment