title : Waziri wa Habari Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Akiwa Nchini Oman.
kiungo : Waziri wa Habari Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Akiwa Nchini Oman.
Waziri wa Habari Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Akiwa Nchini Oman.
Waziri wa habari utalii na mambo ya kale Mhe Mahmoud thabit kombo akiongoza ujumbe wa viongozi kadhaa wa serikali mjini Muscat Oman kusaini makubaliano ya matengenezo makubwa ya beit el ajaib yatakayogharamiwa na serikali ya Oman. Katika ujumbe wake amefuatana na mkutugenzi wa mamlaka ya uhifadhi na uendelezaji mji mkongwe issa makarani na mwakilishi wa kikitoupele Ali Suleiman Ali (SHIHATA)
Hivyo makala Waziri wa Habari Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Akiwa Nchini Oman.
yaani makala yote Waziri wa Habari Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Akiwa Nchini Oman. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Habari Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Akiwa Nchini Oman. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/waziri-wa-habari-zanzibar-mhemahmoud.html
0 Response to "Waziri wa Habari Zanzibar Mhe.Mahmoud Thabiti Kombo Akiwa Nchini Oman."
Post a Comment