LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU

LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU
kiungo : LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU

soma pia


LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU

*Apiga marufuku mwanafunzi kuchapwa viboko shuleni, atoa mbinu za ufundishaji
Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
KATIBU wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania Winfrida Rutahinfwa ametoa  maagizo kwa Walimu wakuu na Wakuu wa shule nchini kutoogopa kuwachukulia walimu ambao watabainika wanakiuka nidhamu ya utumishi hata kama walimu hao watakuwa ni wake wa viongozi wa ngazi za juu Serikali.

Pia amewaagiza walimu kubuni mbinu za kufundisha wanafunzi ili wafaulu kwenye masomo huku kwa walimu wa Mkoa wa Dar es Salaam hasa wa Shule za Sekondari kujikita katika kufundisha wanafunzi ili wafaulu kwani kwa sasa shule za mkoa huo zinafanya vibaya kwenye matokeo ya mtihani.

Rutahinfwa amesema hayo leo wakati anazungumza na walimu wakuu wa shule za msingi, Wakuu wa shule za sekondari, maofisa elimu na viongozi wa ngazi mbalimbali wa sekta ya elimu mkoa wa Dar es Salaam na hasa wa Manispaa ya Ilala jijini.

"Mwalimu mkuu wa shule ya msingi na mkuu wa shule sekondari ndiko mamkalaka ya nidhamu yanakoanzia kwa maana kwenye ngazi za shule,hivyo nitoe mwito walimu wakuu na wakuu wa shule chukueni hatua kwa walimu wanapokosea.

"Mwalimu hata akiwa mke wa kiongozi achukuliwe hatua pale anapokiuka nidhamu,anapokuwa kwenye majukumu yake ni mwalimu na akirudi nyumbani ndio atabaki kuwa mke wa kiongozi.

"Hivyo hakuna sababu ya kuogopa kuchukua haua kwasababu mwalimu aliyekosea ni mke wa mkubwa.Tufuate sheria na kanuni za utumishi wa umma na zile za Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania.Anayekosea aanywe, apewe karipio na akiendelea achukuliwe hatua zaidi,"amesema  Rutahinfwa .


Baadhi ya walimu walimi wakuu wa shule za msingi,wakuu wa shule za sekondari,waratibu wa elimu na maofisa elimu mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama kumkaribisha Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania Winfrida Rutahinfwa.



Hivyo makala LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU

yaani makala yote LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/lazima-tusimamie-nidhamu-hata-akikosea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "LAZIMA TUSIMAMIE NIDHAMU, HATA AKIKOSEA MWALIMU AMBAYE NI MKE WA KIGOGO ACHUKULIWE HATUA-KATIBU TUME YA UTUMISHI WA WALIMU"

Post a Comment