MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO

MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO
kiungo : MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO

soma pia


MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO

BENKI ya NMB imetoa mafunzo ya kibenki kwa mawakala wake kutoka Kanda saba nchini ili kuboresha huduma kwa wateja na kukuza biashara zao. Mafunzo hayo yaliotolewa kwa mawakala wa NMB, ambao wanasaidia kutoa huduma za kibenki kwa wateja, yametolewa kwenye Kanda 7, ambazo ni pamoja Nachingwea, Newala, Tandahimba, Mbeya, Dodoma, Morogoro, Arusha, Tabora na Mwanza.

Benki ya NMB iliamua kuwajengea uwezo mawakala wake ili kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja pindi wanapowahudumia. Katika mafunzo hayo, mawakala walipata elimu kutoka kwa wataalam wa masuala ya kibenki pamoja na timu ya mtandao wa kanda husika. Miongoni mwa mafunzo hayo ni pamoja na uelewa juu ya huduma na bidhaa mbalimbali za benki,

Pamoja na hayo, NMB ilitoa motisha na kutambua michango ya mawakala waliofanya vizuri katika kutoa huduma hizo. Baadhi walipata zawadi mbalimbali na vyeti maalum kwa wakala aliyefanya vizuri kwa kila Kanda. Ujuzi huo utaendelea kutolewa kwa maeneo yaliosalia. Benki ya NMB kwa sasa ina zaidi ya mawakala 6000 nchi nzima.
Meneja wa NMB kanda ya ziwa - Abraham Augustino, akizungumza na mawakala wa benki hiyo kwenye kongamano la mawakala lililofanyika Jijini Mwanza jana. NMB inaendesha semina ya mawakala zaidi ya 6,000 ili kuwajengea uwezo na kutambua mchango wao katika kutoa huduma za kibenki nchini. 
Mmoja wa wakala akitunukiwa cheti baada ya kufanya vizuri katika biashara yake. 
NMB inaendesha semina ya mawakala zaidi ya 6,000 ili kuwajengea uwezo na kutambua mchango wao katika kutoa huduma za kibenki nchini. Baadhi ya mawakala wakiwa katika kongamano la mafunzo. 
Wakala wa NMB kutoka wilayani Chato Mkoani Geita - Suleiman Rweikondo, akionesha cheti cha mshindi wa wakala bora namba moja kwa kanda ya ziwa wakati wa kongamano la mawakala liliofanyika jijini Mwanza jana.NMB inaendesha semina ya mawakala zaidi ya 6,000 ili kutambua mchango wao katika kutoa huduma za kibenki nchini. 


Hivyo makala MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO

yaani makala yote MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/mawakala-wa-nmb-kanda-7-wanufaika-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAWAKALA WA NMB KANDA 7 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIBENKI KUBORESHA BIASHARA ZAO"

Post a Comment