BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU

BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU
kiungo : BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU

soma pia


BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu
Balozi wa Indonesia hapa nchini Prof.Dkt. Ratlan Pardede amewaahidi viongozi wa Mkoa wa Simiyu kuwa atawaalika wawekezaji wa Viwanda vya nguo, viwanda vya kuchakata ngozi  na viwanda vya kutengeneza  mbolea kutoka hini Indonesia kuja kuwekeza Mkoani Simiyu.

Mhe. Balozi Pardede ameyasema hayo Mei 15, alipokuwa katika ziara yake Mkoani Simiyu mara baada ya kutembelea kiwanda cha Kuchambua pamba cha Kasoli Alliance kilichopo Wilayani Bariadi na Kiwanda cha kuchakata ngozi cha Senani wilayani Maswa.

Amesema atawaalika wafanyabiashara kutoka nchini Indonesia kuja Simiyu ili wakutane na viongozi wa mkoa huo pamoja na wafanyabiashara wenzao kujadili juu ya kuongeza uzalishaji wa pamba bora, bei ya pamba na kuona namna ya kuuza pamba ya Simiyu (Tanzania) nchini Indonesia moja kwa moja.

Pamoja na kuahidi kuwaalika wawekezaji wa viwanda vya kuchakata bidhaa za ngozi, Balozi Pardede akiwa katika kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi cha Senani Maswa ameahidi kusaidia kuleta wataalam kutoka Indonesia watakaosaidia wafanyakazi wa kiwanda kutengeneza bidhaa bora za ngozi na kuwapeleka wafanyakazi hao Indonesia kujifunza na kupata maarifa na uzoefu.

Meneja mkuu wa Kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance Bw. Boaz Ogola amesema ujio wa Balozi wa Indonesia ni fursa kubwa kwa wanunuzi wa pamba kutokana na nchi hiyo kuwa na uhitaji mkubwa wa pamba kwa ajili ya viwanda vya nguo na utafungua milango ya majadiliano na wafanyanyabiashara wa Indonesia na kufanya biashara ya moja kwa moja.
 Balozi wa Indonesia hapa nchini, Prof. Dkt. Ratlan Pardede (wa tatu kulia) akipewa maelezo juu ya hatua za utengenezaji wa kiatu cha ngozi wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa za ngozi kilichopo Senani wilayani Maswa akiwa katika ziara yake Mkoani Simiyu.
 Balozi wa Indonesia hapa nchini, Prof. Dkt. Ratlan Pardede  akiweka saini katika ubao kwa kutumia Maswa Chalks wakati alipotembelea kiwanda cha kutengeneza Chaki  wilayani Maswa akiwa katika ziara yake Mkoani Simiyu.
 Balozi wa Indonesia hapa nchini, Prof. Dkt. Ratlan Pardede (wa tatu kushoto) akiwa na viongozi wengine wa mkoa wa Simiyu wakati alipotembelea kiwanda cha kuchambua Pamba cha Kasoli Alliance kilichopo wilayani Bariadi akiwa katika ziara yake Mkoani Simiyu.
 Meneja mkuu wa Kiwanda cha kuchambua pamba cha Alliance Bw. Boaz Ogola(kushoto) akitoa maelezo kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini, Prof. Dkt. Ratlan Pardede( wa nne kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho,  kilichopo wilayani Bariadi akiwa katika ziara yake Mkoani Simiyu
 Mkuu wa Wilaya ya Maswa, mhe. Dkt. Seif Shekalaghe ( wa pili kulia) akitoa maelezo ya namna chaki zinavyotengenezwa kwa Balozi wa Indonesia hapa nchini, Prof. Dkt. Ratlan Pardede  (kulia) wakati alipotembelea kiwanda

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU

yaani makala yote BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/balozi-wa-indonesia-aahidi-kuwaalika.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BALOZI WA INDONESIA AAHIDI KUWAALIKA WAWEKEZAJI WA VIWANDA VYA NGUO, NGOZI NA MBOLEA KUWEKEZA SIMIYU"

Post a Comment