YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA
kiungo : YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA

soma pia


YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Job  Ndugai akisisitiza jambo mara baada ya kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe. January  Makamba akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira kwa mwaka wa fedha 2018/2019 mapema leo Bungeni mjini Dodoma.
 Waziri wa Katiba na Sheria Prof.  Palamagamba  Kabudi akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu mapema leo Bungeni mjini Dodoma. 
 Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mery Mwanjelwa akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa wakulima wa Korosho wanapata malipo  yao kwa wakati mara baada yakuuza  zao hilo.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu mapema leo Bungeni mjini Dodoma
  Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba akisisitiza jambo Bungeni mapema leo wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
  Sehemu ya wageni waliofika Bungeni wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.  (Picha zote na Frank Mvungi-  MAELEZO, Dodoma)


Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA

yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/yaliyojiri-leo-bungeni-mjni-dodoma.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJNI DODOMA"

Post a Comment