title : ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
kiungo : ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
Na Leandra Gabriel, Globu ya jamii
ALIYEKUWA Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma (75)amefikishwa katika Mahakama ya Durban nchini South Afrika kujibu tuhuma za rushwa zinazomkabili ikiwemo mpango wa ununuzi wa silaha uliogharimu mabilioni ya fedha ikiwa ni wiki saba tangu kiongozi huyo ajiuzulu.
Zuma amefikishwa mahakamani leo ambapo anashtakiwa kwa makosa 16 ya rushwa.Pia anashtakiwa kwa tuhuma za kupokea malipo 783 ambayo yanatia mashaka.
Hata hivyo baada ya kusomwa kwa mashtaka hayo Zuma amekataa makosa yote hayo na kesi imehairishwa hadi Juni 8 mwaka huu.Wakati wa kesi hiyo maelfu ya wafuasi wake wamejitokeza kumuunga mkono Zuma wakiwa wamevaa fulana za picha na maelezo yanayoashiria kiongozi huyo aachiwe huru.
Hali hiyo ilimfanya Zuma licha ya kuwapo mahakamani hapo ilimfanya kuwa mwenye furaha na kuonesha kutabasamu kama ishara ya kutambua uwepo wao.Zuma (75) alijiuzulu February 14 kwa kushinikizwa na chama chake mwenyewe cha African National Congress (ANC) ambacho ni chama tawala.
Hivyo makala ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA
yaani makala yote ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/zuma-kortini-kwa-tuhuma-za-rushwa.html
0 Response to "ZUMA KORTINI KWA TUHUMA ZA RUSHWA"
Post a Comment