title : Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja
kiungo : Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja
Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ujenzi wa Tawi la CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ujenzi wa Tawi la CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Katibu wa Chadema mkoa wa Kusini Unguja Bw. Ali Othman Shomari ambaye amejiunga na CCM leo wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Tawi la CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Aliyekuwa Katibu wa Chadema mkoa wa Kusini Unguja Bw. Ali Othman Shomari ambaye amejiunga na CCM leo,akizungumza jambo wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Tawi la CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan alimpokea . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja
yaani makala yote Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-aendelea-na-ziara-yake_16.html
0 Response to "Makamu wa Rais aendelea na ziara yake Mkoa wa Kusini Unguja"
Post a Comment