WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI.
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI.

soma pia


WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Abbas Kandoro ambaye amelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma kwa matibabu, Aprili 25, 2018.
Picha na ofisi ya Waziri Mkuu
…………….
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Bw. Abbas Kandoro ambaye amelazwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu.
Akiwa hospitalini hapo leo (Jumatano, Aprili 25, 2018), Waziri Mkuu amefarijika baada ya kumkuta Bw. Kandoro na wagonjwa wengine waliolazwa kwenye hospitali hiyo wakihudumiwa vizuri.

Pia Waziri Mkuu amemjulia hali Mbunge wa Viti Malumu (CUF) Bi. Shamsiha Azizi Mtambo ambaye amelazwa katika ya Wodi ya Uangalizi Maalumu (ICU)kwenye
hospitali ya Benjamin Mkapa mjini Dodoma akipatiwa matibabu.

Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwapa pole wagonjwa hao na kuwaeleza kwamba madaktari wataendelea kuwahudumia vizuri ili kuhakikishia afya zao zinaimarika na kurejea katika shughuli zao za kila siku.
Kwa upande wake, Bw. Kandoro alimshukuru Waziri Mkuu kwa kutenga muda wake na kwenda kumjulia hali, pia aliwashukuru madaktari na wauguzi wa hospitali hiyokwa huduma nzuri wanazompatia tangu alipofika hospitalini hapo.


Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI.

yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-majaliwa-amtembelea-rc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA RC MSTAAFU ABBAS KANDORO HOSPITALI."

Post a Comment