Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM

Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM
kiungo : Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM

soma pia


Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha ambaye pia ni diwani wa Gararagua, Zakaria Lukumay amejiuzulu uanachama wa (Chadema) na kujiunga na CCM.
Lukumay ametangaza kujiuzulu siku kadhaa baada ya aliyekuwa mbunge wa Siha (Chadema), Dk Godwin Mollel kujivua ubunge na kujiunga na CCM.
Sawa na Dk Mollel, diwani huyo amesema uamuzi wake unatokana na kumuunga mkono Rais John Magufuli katika kutetea na kulinda rasilimali za Taifa.
Katika barua kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha inayoonyesha iliandikwa Desemba 24,2017 Lukumay amesema anajiunga na CCM kwa sababu ndicho chama kinachogusa mahitaji ya Watanzania wote.
Aliyekuwa diwani wa Chadema wa Donyomurwak wilayani Siha,  Lwite Ndossi maarufu Nsonuu Desemba 19,2017 alijivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM.

Taarifa iliyotolewa na idara ya itikadi na uenezi ya CCM Desemba 19,2017 ilisema Ndossi alieleza sababu za kujiunga na CCM ni kuwa amejiunga na watu wanaofanya siasa za kufanya kazi za maendeleo na si kulumbana na maneno matupu.


Hivyo makala Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM

yaani makala yote Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/diwani-wa-chadema-siha-ajiuzulu-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Diwani wa Chadema Siha Ajiuzulu na Kuhamia CCM"

Post a Comment