title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza, Aprili 1, 2018 akiwa njiani kuelekea Geita ambako Aprili 2, 2018 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kuwasha Mwenge wa Uhuru. Kulia ni mkewe Mama Mary Majaliwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Aprili 1, 2018 akiwa njiani kwenda Geita ambako Aprili 2 , 2018 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za kuwasha Mwenge wa Uhuru. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-aelekea.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AELEKEA GEITA KATIKA SHEREHE ZA KUWASHA MWENGE WA UHURU"
Post a Comment