SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI.

SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI.
kiungo : SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI.

soma pia


SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI.


Na.Khadija Seif, Globu ya jamii.

SHIRIKA la umoja wa mataifa linalojishugulisha na mazingira (AGENDA) limezitaka nchi zilizopo katika Ukanda wa Jangwa la Sahara kutunga sera zakusimamia ukusanyaji wa taka Ngumu ili kulinda afya ya mazingira.

Wito huo umetolewa Leo jijini Dar es salaam katika mkutano wapili wa wadau wa kuandaa mkakati wa kitaifa wakusimamia taka Tanzania(AGENDA) ambapo imewashirikisha Taasisi ,Wizara na Mamlaka mbalimbali za serikali,Makampuni binafsi na wawakilishi wa asasi za kirai.

Akizungumza na wanahabari Kiongozi wa shirika hilo kwa Ukanda wa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara Prof. Abdrahman Bary amesema kushindwa kuhifadhi Takataka kumeleta madhara mengi kwa nchi zinazoendelea na kwa sasa mapambano yanaendelea katika kudhibiti uzalishaji wa taka. 

Aidha Bary ameeleza kuwa usimamizi bora wa taka ngumu ni muhimu kwa afya ya jamii,usalama na Mazingira bora kwa ujumla.Hata hivyo amefafanua kuwa baadhi ya matatizo yanayolikabili jiji la Dar es salaam ni pamoja na ongezeko la kiwango cha juu cha idadi ya watu pamoja na uwezo mdogo kifedha wa kudhibiti taka.

Kwa upande wa Msimamizi wa mradi kudhibiti takataka ngumu Prof. Jamidu Katima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam amesema linakadiriwa kuzalisha tani 4600 za taka kwa siku huku taka nyingi zikiwa hazipelekwi sehemu za kuhifadhia takataka (dampo) hivyo kuhimiza mamlaka husika kusimamia taratibu za uhifadhi, Kusafirisha na kutupa taka ili kulinda mazingira

Katima amesema mkakati huo unalenga kuona nchi zinazoendelea zinapambana katika kudhibiti taka Ngumu pamoja na uzalishaji wa taka Ngumu, kutumia taka kama vyanzo vya uzalishaji mbolea, taka zinazoweza kurejelewa zirejelewe huku wakizalisha Ajira kwa vijana wao kupitia uhifadhi taka wakisasa.

Vilevile Katima amewapongeza shirika la Mazingira UN kutupatia Msaada wa kifedha kuwezesha uandaaji wa mkakati wa kusimamia taka.
 Msimamizi wa mradi kudhibiti takataka ngumu Prof. Jamidu Katima kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam akizungumza na wanahabari Jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pili wa wadau wa Kuandaa mkakati wa kusimamia Takataka
Washiriki katika Mkutano wa pili wa wadau wa Kuandaa mkakati wa Kitaifa wa kusimamia Taka nchini uliofanyika jijini Dar es salaam ulioandaliwa na Shirika la kudhibiti na kusimamia Taka (AGENDA) 


Hivyo makala SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI.

yaani makala yote SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/shirika-la-umoja-wa-mataifa-waandaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA WAANDAA MKAKATI WA KITAIFA KUSIMAMIA TAKA NCHINI."

Post a Comment