title : WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA- RAISI MAGUFULI
kiungo : WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA- RAISI MAGUFULI
WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA- RAISI MAGUFULI
Na Mahmoud Ahmad Dodoma
RAIS John Mguguli ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vinawachukulia hatua kali watu wote waliohusika katika kufanya ubadhilifu wa zaidi y ash bilioni 1.5 ya mradi wa maji wa Ntomoko.
Agizo hilo alilitoa jana wakati wa ufunguza wa barabara ya Dodoma Manyara yenye urefu wa kilometa 251 iliyozinduliwa katika eneo la Bicha wilayani kondoa mkoani hapa ambayo itaongeza fursa mbalimbali za kiuchumi kwa wananchi wa mikoa hiyo miwili.
Akiwahutubia wananchi wa Kondoa na Manyara,muda mfupi baada ya kupatiwa taarifa ya mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhandisi Bilinithi Mahenge, kuelezea kuwa kuna ubadhirifu wa zaidi ya sh.bilioni moja na nusu zilizopotea katika mradi wa maji wa ntomoko na kuwakosesha huduma ya maji wananchi wa wilaya ya Kondoa na Chemba.
Mradi huo wa kutandika mabomba ya kusambazia maji kuwafikia wananchi ambapo waliopewa dhamana hiyo badala ya kutandika mabomba ambayo yanauwezo mkubwa wa kufikisha maji wao wakaweka mabomba madogo ambayo hayana uwezo .“Kama ni kuchomoka basi wachomoke wale wote waliofanya ubadhirifu wa mradi huu kwani wanawapa shida wananchi wanyonge ambao walikuwa wapate huduma ya maji tokea mwaka 1980” alisisitiza Rais
Aidha kwa upande mwingine Rais Magufuli akawataka viongozi wa wilaya hiyo kuacha migogoro ya wao kwa wao na kuwa migogoro inachangia kushindwa kuwapelekea wananchi huduma za maendeleo kwa wakati na yeye hakuwatuma kwenda kuibua migogoro hiyo. Kwa upande wake Rais wa Benki ya maendeleo ya Afrika Akinwim Adesina aiahidi neema kwa Jiji jipya la Dodoma na serikali kwa Ujumla kwamba atatoa ushirikiano kuahakikisha serikali na jiji hilo wanapata fedha za miradi.
Amesema kuwa Bara bara hiyo itafungua milango ya kiuchumi kwa lango la Kaskazini mwa Afrika na kusini ambapo hiyo itakuwa fursa pana kwa wananchi wa mataifa nane barani humo ambayo barabara hiyo inapita kutoka Cape town hadi Cairo nchini Misri
Nae waziri wa Ujenzi uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa amesema kuwa barabara hiyo yenye urefu wa km.251 imejengwa kwa jumla ya tsh.bilon 378.4 kati ya hizo fedha za ndani blion107.6 na zilizobakia zimechangiwa na wafadhili Benki ya maendeleo ya Afrika(AFDB) na shirika la maendeleo la Japani(JICA).

Hivyo makala WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA- RAISI MAGUFULI
yaani makala yote WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA- RAISI MAGUFULI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA- RAISI MAGUFULI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/waliofanya-ubadhirifu-wa-bilion-15.html
0 Response to "WALIOFANYA UBADHIRIFU WA BILION 1.5 WASAKWE NA KUFIKISHWA KWENYE VYOMBO VYA SHERIA- RAISI MAGUFULI"
Post a Comment