MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA

MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA
kiungo : MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA

soma pia


MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA


KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa ameeleza  namna ambavyo wamemkamata na kumhoji msanii maarufu Nassib Abdul a.k.a Diamond  na kisha kumuachia kwa dhamana.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam na Michuzi blog,Kamanda Mambosasa amesema alimakata Diamond jana kati ya saa 11 na saa 12 jioni na kisha walimhoji kutokana na kusambaza picha za utupu katika mtandao.

"Polisi tumemshikilia Diamond na kisha tukamhoji kwa kusambaza picha za utupu mtandaoni,"amesema Mambosasa na kuongeza kuwa hilo ni kosa la kimtandao hivyo sheria itachukua mkondo wake.

Alipoulizwa kama Diamond bado anashikiliwa Polisi au laa, Mambosasa amejibu baada ya kumhoji walimuachia kwa dhamana wakati upelelezi ukiendelea."Upelelezi ukikamilika tutaendelea na hatua nyingine za kisheria,"amesisitiza.


Hivyo makala MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA

yaani makala yote MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/mambosasa-aelezea-namna-alivyomkamata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAMBOSASA AELEZEA NAMNA ALIVYOMKAMATA DIAMOND KABLA YA KUMUACHIA KWA DHAMANA"

Post a Comment