SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU

SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU
kiungo : SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU

soma pia


SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU

Zainabu Nyamka,Globu ya jamii

MWIGIZAJI bora wa kike katika tasnia ya filamu nchini Tanzania Wema Sepetu amesaini mkataba mnono na Kampuni ya Auguster kwa ajili ya usambazaji wa filamu yake ya Heaven Sent.

Mkataba huo umesainiwa leo katika mkutano uliofanyika ndani ya studio za Azam TV jijini Dar es Salaam, ambapo kampuni hiyo imewakilishwa na Ofisa Uhusiano wake Nembris Soka.

Tukio pia limeshuhudiwa na mwandishi na muongozaji wa filamu hiyo, Neema Ndepanya.

Kwa upande wa Wema amesema tangu kutolewa rasmi kwa filamu hiyo, wapenzi wake wamekuwa wakiipata kupitia ‘Application’ ya Wema Sepetu, na hapakuwa na DVD zozote ambazo zilikuwa zikisambazwa kwa watu.

Amesema kampuni hiyo imeamua kufanya kazi hiyo baada ya filamu hiyo kushinda tuzo mbili katika Tuzo za Kimataifa za Filamu (SZIFF) zilizofanyika Aprili  MOSI, mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City.

Soka yeye amesema Kampuni ya Auguster wamevutiwa na kiwango cha filamu hiyo na wameona jinsi mashabiki wa filamu nchini walivyo na kiu ya kuitazama filamu hiyo, na ndiyo maana wameamua kuifanya kazi hiyo ya usambazaji ili iwafikie watu.



Hivyo makala SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU

yaani makala yote SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/sziff-yampa-dili-wema-sepetu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SZIFF YAMPA DILI WEMA SEPETU"

Post a Comment